• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 28, 2020

  RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YALAZIMISHA SARE NA ROMA 2-2


  Mshambuliaji Mreno, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifunga mabao yote Juventus ikilazimisha sare ya 2-2 na wenyeji, AS Roma katika mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Olimpico, Roma. Ronaldo alifunga dakika ya 44 kwa penalti na 69 wakati ya Roma yalifungwa na Jordan Veretout kwa penalti pia dakika ya 31 na 45
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YALAZIMISHA SARE NA ROMA 2-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top