• HABARI MPYA

  Wednesday, September 09, 2020

  MEDDIE KAGERE ANAVYOPAMBANA KUREJEA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA SIMBA SC ATAMBE TENA KWA MABAO YAKE

  Mshambuliaji wa Simba SC, Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere akifanya mazoezi gym, timu yake ikijiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro
  Kiungo Hassan Dilunga akifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Jumamosi Morogoro 
  Kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Miquissone akifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa kuivaa Mtibwa Sugar Jumamosi 
  Bek tegemeo wa Simba, Kennedy Willson Juma akifanya mazoezi gym kujiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar  
  Kiungo Mbrazil, Gerson Fraga 'Viera' (kulia) na mshambuliaji Mkongo, Chris Mugalu wakifanya mazoezi gym, Simba ikijiandaa na mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MEDDIE KAGERE ANAVYOPAMBANA KUREJEA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA SIMBA SC ATAMBE TENA KWA MABAO YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top