• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 09, 2020

  MICHY BATSHUAYI APIGA MBILI UBELGIJI YAICHARAZA ICELAND 5-1

  Mshambuliaji Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili dakika za 17 na 69 katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Stade Roi Baudouin Jijini Brussels. Mabao mengne ya Ubelgiji yamefungwa na Axel Witsel dakika ya 13, Dries Mertens dakika ya 50 na Jeremy Doku dakika ya 79, wakati la Iceland lilifungwa na Holmbert Fridjonsson dakika ya 10 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MICHY BATSHUAYI APIGA MBILI UBELGIJI YAICHARAZA ICELAND 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top