• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 20, 2020

  NKETIAH APIGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA WEST HAM 2-1


  Wachezaji wa Arsenal wakimpongeza Eddie Nketiah (kulia) baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 85, The Gunners wakiilaza West Ham United 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumamosi Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 25, kabla ya Michail Antonio kuisawazishia West Ham dakika ya 45
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NKETIAH APIGA LA USHINDI ARSENAL YAICHAPA WEST HAM 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top