• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 30, 2020

  AZAM FC WAKIJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMAPILI CHAMAZI

  Kiungo Awesu Awesu akimtoka beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa katika mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumapili Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
  Kipa David Kissu akiokoa hatari langoni wakati wa mazoezi ya Azam FC kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumapili 
    
  Wachezaji wa Azam FC wakijifua leo kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Jumapili Uwanja wa Azam Complex, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WAKIJIFUA KWA BIDII KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA KAGERA SUGAR JUMAPILI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top