• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 22, 2020

  MUGALU AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA AFRICAN LYON 2-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI


  Wachezaji wa Simba SC wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon, mabao ya Chris Mugalu dakika ya 47 na Charles Ilamfya dakika ya 54 katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MUGALU AENDELEZA MOTO WA MABAO SIMBA SC YAICHAPA AFRICAN LYON 2-0 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top