• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 24, 2020

  TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJENGA VITUO VYA MAENDELEO YA SOKA DAR NA TANGA


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzana (TFF), Wallace Karia (katikati) akiwa na Mkandarasi Yi Xiaobo wa kampuni ya Group Six International wakionyesha mikataba ya ujenzi wa vituo vya mpira wa miguu vya Dar es Salaam na Tanga uliosainiwa leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athumani Nyamlani 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TFF YAINGIA MKATABA NA MKANDARASI KWA AJILI YA KUJENGA VITUO VYA MAENDELEO YA SOKA DAR NA TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top