• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 22, 2020

  IBRAHIMOVIC APIGA ZOTE MBILI AC MILAN YANG'ARA SERIE A


  MABAO ya Zlatan Ibrahimovic dakika ya 35 na 51 usiku wa jana yametosha kuipa AC Milan ushindi wa 2-0 dhidi ya Bologna katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IBRAHIMOVIC APIGA ZOTE MBILI AC MILAN YANG'ARA SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top