• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 23, 2020

  MANCHESTER UNITED YAICHAPA LUTON TOWN 3-0 CARABAO CUP


  Mabao ya Juan Mata kwa penalti dakika ya 44, Marcus Rashford dakika ya 88, Mason Greenwood dakika ya 90 na ushe yameipa Manchester United ushindi wa 3-0 dhidi ya Luton Town Uwanja wa Kenilworth Road 
  katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAICHAPA LUTON TOWN 3-0 CARABAO CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top