• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 25, 2020

  LIVERPOOL YAISHINDILIA LINCOLN 7-2 NA KUSONGA MBELE CARABAO


  Wachezaji wa Liverpool wakipongezana kwa ushindi wa 7-2 dhidi ya Lincoln City kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa jana Uwanja wa LNER Jijini Lincoln.

  Mabao ya Lverpool yalifungwa na Xherdan Shaqiri dakika ya tisa, Takumi Minamino dakika ya tisa 18 na 46, Curtis Jones dakika ya 32 na 36, Marko Grujic dakika ya 65 na Divock Origi dakika ya 89, wakati ya Lincoln yalifungwa na Adetayo Edun akika ya 60 na Lewis Montsma dakika ya 66 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAISHINDILIA LINCOLN 7-2 NA KUSONGA MBELE CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top