• HABARI MPYA

    Monday, September 28, 2020

    ANSU FATI APIGA MBILI, MESSI MOJA BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA


    Mshambuliaji kinda, Ansu Fati akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika ya 15 akimalizia pasi ya Jordi Alba na dakika ya 19 akimalizia pasi ya Philippe Coutinho katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Villarreal kwenye mchezo wa La Liga usku wa Jumapili Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Lionel Messi kwa penalti dakika ya 35 na Pau Torres aliyejifunga dakika ya 45
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ANSU FATI APIGA MBILI, MESSI MOJA BARCELONA YASHINDA 4-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top