• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 06, 2020

  BILA CRISTIANO RONALDO, URENO YAICHAPA CROATIA 4-1 PORTO

  BEKI wa Manchester City, Joao Cancelo akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Do Dragao Jijini Porto. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo yalifungwa na  Diogo Jota dakika ya 58, Joao Felix dakika ya 70 na Andre Silva dakika ya 90 na ushei, wakati la Croatia lilifungwa na Bruno Petkovic dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BILA CRISTIANO RONALDO, URENO YAICHAPA CROATIA 4-1 PORTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top