• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 28, 2020

  TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 11 UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

  TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi katika kalenda ya FIFA Oktoba 11 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  Maana yake mechi za Raundi ya Sita za Ligi Kuu ya Tanzania Bara zilizopangwa kuchezwa kati ya Oktoba 9 na 12 zinaweza kuahirishwa kupisha mchezo huo. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS KUCHEZA NA BURUNDI MECHI YA KIRAFIKI OKTOBA 11 UWANJA WA BENJAMIN MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top