• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 05, 2020

  AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI

  Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam 
  Wachezaji wa Azam FC wakifurahia kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu 
  Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D'jordi akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu  
  Kiungo wa Azam FC, Frank Raymond Domayo akimiliki mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu 
  Wachezaji wa Azam FC wakijifua kujiandaa na amchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu  dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top