• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 30, 2020

  RAIS WA TFF, KARIA AWAONYESHA ENEO LA KIGAMBONI WALIOSHINDA TENDA YA UJENZI WA VITUO VYA SOKA


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akiwaonyesha eneo la Kigamboni Maofisa wa Kampuni ya Group Six International ambayo imeshinda tenda ya ujenzi wa Vituo vya Tanga na Kigamboni unaotarajia kuanza Oktoba 1, 2020 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF, KARIA AWAONYESHA ENEO LA KIGAMBONI WALIOSHINDA TENDA YA UJENZI WA VITUO VYA SOKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top