• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 20, 2020

  DIOGO JOTA ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO LIVERPOOL


  MSHAMBULIAJI Mreno, Diogo Jota mwenye umri wa miaka 23 akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na mabingwa hao wa England kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni Milion 41 kutoka Wolverhampton Wanderers
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIOGO JOTA ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top