• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 15, 2020

  KARIA NA RAIS WA FFB, REVERIEN NDIKURIYE WALIVYOZINDUA SEMINA YA WANAWAKE LEO DAR

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Burundi (FFB), Reverien Ndikuriye wakati wa kuzindua Semina ya Uongozi ya Wanawake leo Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
  Rais wa TFF, Wallace Karia akiwa na viongozi mbalimbali wa michezo nchini pamoja na Rais wa FFB, Reverien Ndikuriye
  Rais wa TFF, Wallace Karia akiwa na viongozi na washiriki wa Semina hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KARIA NA RAIS WA FFB, REVERIEN NDIKURIYE WALIVYOZINDUA SEMINA YA WANAWAKE LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top