BEKI Jose Luis Gaya akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Hispania bao la kusawazisha dakika ya 90 na ushei kufuatia Timo Werner kuwatanguliza wenyeji, Ujerumani dakika ya 51 katika sare ya 1-1 katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa ya Ulaya,usiku wa jana Uwanja wa Mercedes-Benz-Arena Jijini Stuttgart PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
4 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment