• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 05, 2020

  FIRMINO, MANE WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YASHINDA 7-2

  Mkongwe James Milner akimpongeza kinda Harvey Elliott baada ya kuifungia Liverpool bao la nne dakika ya 69 katika ushindi wa 7-2 dhidi ya Blackpool kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa TBC. Mabao mengine ya Liveropool yamefungwa na Joel Matip dakika ya 43, Sadio Mané dakika ya 52, Roberto Firmino dakika ya 54, Takumi Minamino dakika ya 71, Divock Origi dakika ya 85 na Sepp Van den Berg dakika ya 88, wakati ya Blackpool yamefungwa na CJ Hamilton dakika ya 15 na Jerry Yates dakika ya 33 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO, MANE WOTE WAFUNGA LIVERPOOL YASHINDA 7-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top