• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 04, 2020

  VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA MECHI YA YANGA NA PRISONS ITAKAYOCHEZWA JUMAPILI DAR

  JINSI ya kupata tiketi za mchezo wa Yanga na Tanzania Prisons, utakachezwa siku ya Jumapili Saa 1:00 usiku  kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.  Kwa kiingilio cha mzunguko Shilingi 5,000, Vip B & C shilingi 10,000, Vip A Shilingi 15,000.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA MECHI YA YANGA NA PRISONS ITAKAYOCHEZWA JUMAPILI DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top