• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 30, 2020

  SPURS YAITOA CHELSEA KWA MATUTA, YAENDA ROBO FAINALI CARABAO


  TIMU ya Tottenham Hotspur imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Timo Werner alianza kuifungia Chelsea dakika ya 19, kabla ya Erik Lamela kuisawazishia Tottenham dakika ya 83 na Mason Mount akakosa penalti muhimu na kuipeleka Spurs Robo Fainali ya Carabao Cup
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SPURS YAITOA CHELSEA KWA MATUTA, YAENDA ROBO FAINALI CARABAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top