AMBAVYO ‘FUNDI’ KHLEFFIN HAMDOUN YUPO TAYARI KWA MSIMU MPYA WA LIGI KUU AZAM FC
Kiungo Mzanzibar wa Azam FC, Khleffin Hamdoun akionyesha ufundi wake kwenye mazoezi ya timu hiyo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dares Salaam kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Azam FC itaanzia nyumbani na Polisi Tanzania Jumatatu.
0 comments:
Post a Comment