• HABARI MPYA

    Friday, September 11, 2020

    BEKI KWELI PASCAL SERGE WAWA AKITULIZA MPIRA GAMBANI KWENYE MAZOEZI YA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA MTIBWA SUGAR KESHO

    Beki Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akituliza mpira kifuani wakati wa mazoezi ya Simba SC jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar    
    Kipa Aishi Salum Manula akipiga mpira mazoezini, SImba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu
    Beki Mkenya, Joash Onyango akituliza mpira mazoezini, Simba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu 
    Beki anayeweza kucheza kama kiungo pia, Shomary Salum Kapombe akituliza mpira kifuani kwenye mazoezini ya Simba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu 
    Kiungo Mzambia, Larry Bwalya akipiga mpira mazoezini, SImba SC ikijiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumatatu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BEKI KWELI PASCAL SERGE WAWA AKITULIZA MPIRA GAMBANI KWENYE MAZOEZI YA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA MTIBWA SUGAR KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top