• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 30, 2020

  SIMBA SC ILIVYOGAWA KADI KWA MASHABIKI WAKE LEO JIJINI DODOMA KUELEKEA MECHI NA JKT JUMAPILI

  KLABU bingwa ya Tanzania, Simba leo imeendesha zoezi la kutoa kadi za mashabiki kwa wakazi wa Jiji la Dodoma kwenye vitongoji vya Saba Saba na Majengo.
  Simba SC imeendesha zoezi hilo kuelekea mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania Jumapili Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOGAWA KADI KWA MASHABIKI WAKE LEO JIJINI DODOMA KUELEKEA MECHI NA JKT JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top