• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 04, 2020

  VIONGOZI AZAM FC WAKUTANA FARAGHA NA WACHEZAJI WAO, MAKOCHA KUPANGA MIPANGO

  Viongozi wa Azam FC wakiwa kwenye kikao cha pamoja na wachezaji wa kikosi hicho, kujadili mipango kuelekea msimu huu. Azam FC itafungua pazia la ligi kwa kukipiga dhidi ya Polisi Tanzania Jumatatu ijayo. 
  Wachezaji wa Azam FC wakiwasikiliza viongozi wao kwenye kikao cha leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIONGOZI AZAM FC WAKUTANA FARAGHA NA WACHEZAJI WAO, MAKOCHA KUPANGA MIPANGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top