• HABARI MPYA

  Friday, September 25, 2020

  YANGA SC WALIVYOWASILI MOROGORO LEO KWA AJILI YA MCHEZO NA MTIBWA SUGAR JUMAPILI UWANJA WA JAMHURI

  Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mkongo Tuisila Kisinda baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjino Morogoro mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumapili Uwanja wa Jamhuri mjini humo 


  Kipa Mkenya wa Yanga SC, Farouk Shikhalo baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili mjini Morogoro mchana wa leo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar Jumapili Uwanja wa Jamhuri mjini humo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WALIVYOWASILI MOROGORO LEO KWA AJILI YA MCHEZO NA MTIBWA SUGAR JUMAPILI UWANJA WA JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top