• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 16, 2020

  BENKI YA KCB YAONGEZA MKATABA WA KUWA MDHAMINI MWENZA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

  Viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania na benki ya KCB Tanzania wakionyesha mfano wa hundi ya Sh. Milioni 500 waliyokabidhiwa na Mkurugenzi wa Huduma za Benki kwa Wateja Wakubwa wa benki ya KCB Tanzania, Barry Chale baada ya kusaini mkataba mpya wa udhamini mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENKI YA KCB YAONGEZA MKATABA WA KUWA MDHAMINI MWENZA WA LIGI KUU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top