• HABARI MPYA

  Ijumaa, Septemba 11, 2020

  YANGA SC YAZINDUA JEZI ZA MSIMU MPYA PAMOJA NA DUKA LA VIFAA VYA MICHEZO MAKAO MAKUU YA KLABU, JANGWANI

  Kiungo Muangola wa Yanga SC, Carlos Carlinhos akifurahia wakati wa kuonyesha jezi za msimu mpya za nyumbani za klabu yake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
  Mshambuliaji Mghana wa Yanga SC, Michael Sarpong akionyesha jezi mpya ya ugenini ya timu hiyo 
  Pamoja na jezi mpya, Yanga SC imezindua duka la vifaa vya michezo makao makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAZINDUA JEZI ZA MSIMU MPYA PAMOJA NA DUKA LA VIFAA VYA MICHEZO MAKAO MAKUU YA KLABU, JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top