• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 17, 2020

  TANZANITE QUEENS KUINGIA KAMBINI JUMANNE KUJIANDAA KUIVAA SENEGAL KUFUZU KOMBE LA DUNIA


  KIKOSI cha Wachezaji wa 40 wa timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kitaingia kambini Jumanne ijayo Septemba 22 kujiandaa na mchezo dhidi ya Senegal kufuzu kombe la Dunia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANITE QUEENS KUINGIA KAMBINI JUMANNE KUJIANDAA KUIVAA SENEGAL KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top