• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 06, 2020

  LIVERPOOL YAIPIGA EVERTON 1-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA

  Kiungo wa England, kijana mdogo wa umri wa miaka 18, Curtis Jones akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 71 ikiilaza Everton 1-0 katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England jana Uwanja wa Anfield 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAIPIGA EVERTON 1-0 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top