Mshambuliaji Mfaransa Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao yote mawili dakika za 72 na 90 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Ibiza ya Segunda B iliyotangulia kwa bao la Pep Caballe dakika ya tisa Uwanja wa Manispaa ya Can Misses katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la Mfalme Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment