• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 25, 2020

  YANGA SC YAANZA MCHAKATO WA UJENZI WA UWANJA MPYA NA AKADEMI YA KISASA KIGAMBONI

  Wajumbe wa Kamati ya Ujenzi na Miundombinu ya klabu ya Yanga, na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wakiwa katika kikao cha kujadili masuala mbalimbali ikiwamo hatua za awali za ujenzi wa Uwanja na Akademi ya kisasa ya klabu huko Kigamboni leo Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAANZA MCHAKATO WA UJENZI WA UWANJA MPYA NA AKADEMI YA KISASA KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top