• HABARI MPYA

  Wednesday, January 29, 2020

  KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C YA KOZI YA UKOCHA YA CAF

  Nyota wa zamani wa klabu ya Simba, kipa Juma Kaseja (kushoto) na beki Boniface Pawasa (kulia) ni miongoni mwa makocha 30 waliojitokeza kushiriki Kozi ya siku 28 ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inayoendelea makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Karume, Ilala,  Dar es Salaam  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C YA KOZI YA UKOCHA YA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top