• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 20, 2020

  NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOREJEA DAR LEO BAADA YA KUBEBA POINTI ZOTE SITA MWANZA

  Kipa Beno Kakolanya akiwaongoza wachezaji wenzake wa Simba SC kutoka eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), kituo cha pili baada ya kuwasili Jijini Dar es Salaam mapema leo wakitokea Mwanza ambako walikuwa wana mechi mbili za Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC waliyoshinda 2-1 na Alliance FC waliyoshinda 4-1
  Nahodha John Raphael Bocco akiwaongoza wenzake kutoka baada ya kuwasili na chini ni beki Shomari Kapombe

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOREJEA DAR LEO BAADA YA KUBEBA POINTI ZOTE SITA MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top