• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 18, 2020

  MSUVA AIFUNGIA BAO LA KUONGOZA DIFAA HASSAN EL-JADIDI IKITOA SARE YA 1-1 LIGI YA MOROCCO

  Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akishangilia baada ya kuifungia Difaa Hassan El-Jadida bao la kuongoza dakika ya sita katika sare ya 1-1 na Rapide Oued Zem ambayo bao lake lilifungwa na winga wa Mali, Abdoulaye Diarra kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu Botola Pro usiku wa jana Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida, Mazghan.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSUVA AIFUNGIA BAO LA KUONGOZA DIFAA HASSAN EL-JADIDI IKITOA SARE YA 1-1 LIGI YA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top