• HABARI MPYA

  Jumapili, Januari 05, 2020

  KAA TAYARI KUSHUHUDIA PAMBANO LA MARUDIANO FEBRUARI 22 VEGAS

  Wababe wa uzito juu duniani, Muingereza Tyson Fury (kulia) na Mmarekani Deontay Wilder (kushoto) watarudiana Februari 22 Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano lao la kwanza Desemba 1, mwaka 2018 ukumbi wa Staples Center Jinini Los Angeles. Mshindi atapambana na Anthony Joshua katika pambano kubwa zaidi la kumsaka bingwa wa dunia wa uzito wa juu asiyepingika PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KAA TAYARI KUSHUHUDIA PAMBANO LA MARUDIANO FEBRUARI 22 VEGAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top