Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia baada ya ushindi wa penalti 4-1 kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Atletico Madrid kwenye fainali ya Super Cup ya Hispania usiku wa jana Uwanja wa King Abdullah Sports City Jijini Jeddah, Saudi Arabia. Penalti za Real iliyomaliza pungufu baada ya Federico Valverde kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 115 zilifungwa na Carvajal, Rodrygo, Luka Modric na Sergio Ramos, wakati ya Atletico ilifungwa na Saul pekee huku Thomas Teye Partey na Kieran Trippier wakikosa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Furious local media accuse Virgil van Dijk of 'ruining Dutch football' with
Liverpool star told his 'time is up' following the Netherlands' dramatic
World Cup exit to Morocco
-
Ronald Koeman 's men crashed out on Tuesday morning at the hands of an
energetic and daring Morocco side, who were the better team and should have
won in n...
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment