Tyson Fury (kulia) na Deontay Wilder (kushoto) wakitambiana wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari jana kuelekea pambano lao la marudiano Februari 22 ukumbi wa MGM Grand Garden Arena Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano la kwanza miezi 14 iliyopita nchini humo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment