• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 30, 2020

  LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 WEST HAM NA KUUKARIBIA ZAIDI UBINGWA

  Roberto Firmino, Jordan Henderson, Mohamed Salah, na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya Liverpool kupata bao la kwanza jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa London. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 35 kwa penalti na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 52 na kwa ushindi huo, Wekundu hao wa Anfield sasa wanaongoza Ligi Kuu kwa pointi 19 zaidi ya Manchester City wanaofuatia baada ya wote kucheza mechi 24 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 WEST HAM NA KUUKARIBIA ZAIDI UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top