• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 27, 2020

  NACHO APIGA BAO PEKEE REAL MADRID YAPANDA KILELENI LA LIGA

  Beki wa Real Madrid, Nacho akipongezwa na Nahodha, Sergio Ramos (kulia) na kocha Zinedine Zidane (kushoto) baada ya kuifungia bao pekee timu hiyo dakika ya 78 ikiwalaza 1-0 wenyeji, Real Valladolid Uwanja wa Manispaa ya Jose Zorrilla na kupanda kileleni mwa La Liga, sasa wakiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi, Barcelona (46-43) baada ya wote kucheza mechi 21 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NACHO APIGA BAO PEKEE REAL MADRID YAPANDA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top