• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 24, 2020

  MAKAMU WA PILI WA RAIS TFF ALIVYOFUNGA KOZI YA MAKOCHA WA KIKE LEO KARUME

  Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Steven Mnguto (kulia), akimkabidhi mmoja wa wahitimu wa Kozi ya ukocha wa wanawake iliyofungwa leo makao makuu ya shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam 

  Kozi hiyo ambayo ililenga kuongeza wigo wa makocha wa kike nchini, ilihusisha walimu wa shule za msingi kutoka mkoa wa Dar es Salaam na wanataaluma wengine 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAKAMU WA PILI WA RAIS TFF ALIVYOFUNGA KOZI YA MAKOCHA WA KIKE LEO KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top