• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 24, 2020

  MAZOEZI YA MWISHO YA 'SERENGETI GIRLS' KABLA YA MECHI YA MARUDIANO NA BURUNDI KESHO BUJUMBURA

  Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya umri wa miaka U17 wakifanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Intwari, Bujumbura leo kujiandaa na mchezo wa kesho wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Burundi 
  Mabinti wa Kitanzania wanahitaji hata sare au kufungwa si kwa tofauti ya zaidi ya mabao mawili, baada ya ushindi wa 5-1 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YA 'SERENGETI GIRLS' KABLA YA MECHI YA MARUDIANO NA BURUNDI KESHO BUJUMBURA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top