• HABARI MPYA

  Ijumaa, Januari 24, 2020

  WINGA MPYA MGHANA WA YANGA SC, BERNARD MORRISON AKIFANYA YAKE MAZOEZINI LEO DAR

  Winga mpya wa Yanga SC, Mghana Bernard Morrison akifanya vitu vyake mazoezini leo Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya Tanzania Jumapili Uwanja wa Uhuru, Jijini 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WINGA MPYA MGHANA WA YANGA SC, BERNARD MORRISON AKIFANYA YAKE MAZOEZINI LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top