• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 25, 2020

  CHELSEA YAICHAPA HULL CITY 2-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA

  Beki wa umri wa miaka 22, Mcanada Fikayo Tomori akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 64 kufuatia Mitchy Batshuayi kufunga la kwanza dakika ya sita katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Hull City ambayo bao lake lilifungwa na Kamil Grosicki dakika ya 78 kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa KCOM 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA HULL CITY 2-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top