Gabriel Jesus akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 72 na 75 kufuatia Ilky Gundogan kufunga la kwanza kwa penalti dakika ya nane na Bernardo Silva la pili dakika ya dakika ya 19 katika ushindi wa 4-0 wa Manchester City dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Man stabbed in fight at San Antonio golf course, taken to hospital
-
A fight at a San Antonio ended up with a man being hospitalized after being
stabbed.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment