• HABARI MPYA

  Monday, January 20, 2020

  MESSI AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAREJEA KILELENI LA LIGA

  Lionel Messi (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Granada usiku wa jana Uwanja wa Nou Camp, hvyo kurejea kileleni La Liga 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AIFUNGIA BAO PEKEE BARCELONA YAREJEA KILELENI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top