• HABARI MPYA

  Jumatano, Januari 29, 2020

  MTHAILAND AWASILI DAR KUZIPIGA NA MTANGO IJUMAA MKWAKWANI

  Bondia Suriya Tatakhun akiwa na kocha wake baada ya kuwasili leo Jijini Dar es Salaam kutoka kwao, Thailand tayari kwa pambano kubwa la ngumi la kimataifa dhidi ya mwenyeji, Salim Jengo Mtango usiku wa Ijumaa Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kuwania taji lilio wazi la UBO uzito wa Light 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MTHAILAND AWASILI DAR KUZIPIGA NA MTANGO IJUMAA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top