• HABARI MPYA

  Alhamisi, Januari 23, 2020

  MAN UNITED 'GONJWA LA MOYO WALLAHI' YACHAPWA 2-0

  Jay Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Burnley bao la pili dakika ya 56 kufuatia Chris Wood kufunga la kwanza dakika ya 39 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED 'GONJWA LA MOYO WALLAHI' YACHAPWA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top