• HABARI MPYA

  Jumamosi, Januari 11, 2020

  RASHFORD APIGA MBILI MECHI YA 200 MAN UNITED IKISHINDA 4-0

  Washambuliaji Marcus Rashford na Anthony Martial wakipongezana baada ya wote kuifungia  Manchester United katika ushndi wa 4-0 dhid ya Norwich City leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Rashford ambaye amecheza mechi ya 200 leo Man United amefunga bao la kwanza dakika ya 27 na la pili kwa penalti dakika ya 52 na Martial la tatu dakika ya 54, wakati la nne limefungwa na Mason Greenwoodon dakika ya 76 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RASHFORD APIGA MBILI MECHI YA 200 MAN UNITED IKISHINDA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top