Jason Cummings akishangilia baada ya kuifungia Shrewsbury Town mabao mawili dakika za 65 kwa penalti na 75 kuisaidia kupata sare ya 2-2 na mabingwa wa Ulaya, Liverpool katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Montgomery Waters Meadow. Liverpool ilitangulia akwa mabao ya Curtis Jones dakika ya 15 na Donald Love aliyejifunga kwa bahati mbaya dakika ya 46 na sasa timu hizo zitarudiana Uwanja wa Anfield kuwania kusonga mbele PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kevin Durant Trade Rumors; Timberwolves Called Nets, Wouldn't Deal Towns, Edwards
-
The Minnesota Timberwolves reportedly checked in on Brooklyn Nets
Dakika 24 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni